Huu ulikuwa mwaka wa mamboengi mambo mbali mbali yali make headline ndani na nje ya tanzania, Yapo ya KISIASA, MICHEZO , NA BURUDANI mengine ya kusikitisha na kuhusunisha 1:
SIASA
1
Uchaguzi mkuu marekani
Trump aliibuka mshindi kwenye kinyan'ganyiro hicho
2:
Jaribio la mapinduzi nchini UTURUKI
limeshika headline namba mbili
3: vuguvugu la kisiasa la UINGEREZA
kujitoa UMOJA WA ULAYA,
MICHEZO
4: LEICESTER
kutwaa ligi kuu ya England EPL
5: MBWANA ALY SAMATA ALISAJILIWA KR GENK
6: CHRISTIAN RONALDO MCHEZAJI BORA DUNJANI
7: USAJILI WA MANCHESTER UNITED JOSE MORNHO, USAJILI WA POGBA,
8: UGANDA KUFUZU AFKONI
Burudani
9: WIMBO MPYA WA DARASSA 2FA FA
10:
Tukio la kupatwa kwa jua
Mkoani mbeya na na tetemeko la KAGERA
0 Comments