Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MCHEZAJI WA MBAO ALIVYO KUWA MAREKANI ENZI ZA UHAI WAKE

Mshambuliaji wa Mbao FC, Ismail Khalfan alifuzu majaribio nchini Marekani, imeelezwa na akarejea nchini kumalizia masuala ya elimu. Lakini mwisho, mauti yalikatisha ndoto zake za kucheza nje ya Tanzania baada ya kudondoka uwanjani na kupoteza maisha. Mwenyezi Mungu amrehemu.

Post a Comment

0 Comments