Header Ads Widget

Responsive Advertisement

VIDEO: Kituo cha sheria na Haki za binadamu wameishtaki Bodi ya mikopo

Baada ya makato kwa wanafunzi walionufaika na mikopo ya elimu juu kupandishwa kutoka 8% hadi 15%, leo May 2 2017 kituo cha sheria na haki za binadamu kimefungua kesi ya kikatiba kwenye mahakama kuu ya Tanzania dhidi ya bodi ya mikopo kuhoji uhalali wa ongezeko la makato hayo. Bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: kwa udhamini wa Ayo Tv na masshele Tv

Post a Comment

0 Comments