Maombi ya Vyuo Vikuu Kwa Mfumo wa Mtandao 2017/2018
Baada ya Serikali kuamua kila chuo kufanya udahili wake binafsi kwa wanafunzi wanaotarajia kujiunga na masomo ya Elimu ya Juu kwa mwaka 2017/2018, Vifuatavyo ni Vyuo ambavyo Tayari Vimekwishatengeneza Mifumo ya Udahili na Kukaribisha Maombi. Taarifa ya TCU ilisema Mwisho wa Kupokea Maombi ni Tarehe 13/08/2017. Ingia kwenye linki hapa chini
Asante share na wengine asante masshele Blog ipo kukuhudumia
0 Comments