Header Ads Widget

Responsive Advertisement

VIDEO: SHEKH PONDA AONGEA MWANAFUNZI WA UDSM ALIYEUAWA KWA RISASI DAR

Sheikh Ponda amezungumza hayo baada ya maziko ya mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Marehemu Salum Almas aliyeuawa kwa kupigwa risasi na polisi kwa madai kuwa alikua jambazi, Mei 14 mwaka huu, maeneo ya Uhamiaji Kurasini jijini Dar es Salaam, leo Ijumaa Julai 30, 2017
Msikie Shehe Ponda akizungumza.

Kauli ya Sheikh Ponda Kuhusu Denti UDSM Aliyeuawa na Polisi kwa ‘Ujambazi’

Karibu tena masshele blog

Post a Comment

0 Comments