Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MECHI KUMI ZA SIMBA MZUNGUKO WAPILI VPL


Kuelekea harakati za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2017/18, hizi ni mechi 10 zilizosalia kwa Simba kumaliza mzunguko huu wa pili.

Mtibwa Sugar (Ugenini)
Njombe Mji FC (Ugenini)
Yanga (Nyumbani)
Mbeya City FC (Nyumbani)
Tanzania Prisons FC (Nyumbani)
Lipuli FC (Ugenini)
Ndanda FC (Nyumbani)
Singida United FC (Ugenini)
Kagera Sugar (Nyumbani) na
Majimaji FC (Ugenini)