Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MWASITI AKIPAGAWA :FALSAFA YA UGANGA KWA WASWAHILI

 Mwasiti ni mwanamke aliye mwenyeji wa Bagamoyo. Ni mswahili asilia katika video hii anaanza kuzungumzia maswala ya nyota za binadamu lakini kabla hajafika mbali katika ufafanuzi wake anapandwa na pepo na mambo yanakuwa ni tofauti na alivyo kusudia. Haya yote yalifanyika mwaka 2003
 bofya video kutazama










Aidha video hii hadi ina kufikia imewezeshwa na profesa John Mtembezi shukrani kwake