Topic 


Wachezaji wa Klabu ya Simba wakiwa tayari kujifunza kutoka kwa Dr. Chris Mauki
Dr. Chris Mauki akiongea na wachezaji wa Klabu ya Simba kuhusu umuhimu wa kujiamini wakati wakiwa mchezoni na hata nje ya mchezo





Emmanuel Okwi akimfuatilia kwa ukaribu Dr. Chris Mauki
Dr. Chris Mauki akitolea ufafanuzi kuhusu saikolojia ya kujiamini ilivyo na mchango mkubwa katika kuhakikisha timu inapata ushindi.













Haruna Niyonzima akimshukuru Dr. Chris Mauki kwa madini aliyoyapata
Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au
chrismauki57@gmail.com
Asante kwakusoma Masshele blog