Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MAANA YA TEHAMA (TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO)

Na E. Mashele

TEHAMA NININI , Ama kwa hakika hakuna namna moja ya kuelezea Shana hii isipokuwa kwa ujumla tunawesa kuifasili kuwa ni muunganiko Wa kiteknolojia ambao huruhusu kukusanyika na kuingiliana katika ulimwengu Wa kisasa.

Nyanja za TEHAMA ni pamoja na , Data, Teknolojia ya mawasiliano, Miamala, njia laini, njia ngumu na teknolojia mawingu (cloud computing) na ufikiaji Wa internet(internet access)


Aidha nyenzo kuu ya TEHAMA ni kompyuta pamoja na uchangamani wake na vifaa vingine.

TEHAMA imekuja kuboresha maisha ya mwanadamu na kuyarahisisha na ndiposa katika karne hii MTU anaweza kuwasiliana na MTU mwingune yeyote popote alipo ulimwenguni mradi tu anaweza kufikia internet.

Katika sehemu inayofuata tutajadili TEHAMA katika mchakato Wa utoaji kitabu na TEHAMA katika kufundishia lugha.



Post a Comment

0 Comments