©masshele 2019
Pendekezo hili hutolewa na Mhariri wa jumla.
Lazima azingatie yafuatayo,
-kuwepo kwa majina ya kitabu
-Maudhui yanaendana
-Aseme nikwanini kitabu hicho kinahitajika kwa wakati huo
-Ikisiri >muktasari wa kitabu
-walengwa wananufaikaje na kitabu hicho
-Lazima aseme sokoni kuna ushindani gani
-Ujue Wateja wako
-Lazima apokee maoni ya wasomaji
-Sababu za kuchapisha mswada huo.
-Kulingana na soko Wateja wanahitaji nakala ngapi
-mambo muhimu yatakayo hitajika katika mchakato
-Makadirio , gharama za kuchapa kazi hiyo.
-kampuni inatarajia kupata faida kiasi gani
-Tarehe na ratiba ya kuchapisha.
www.masshele.blogspot.com
0 Comments