Header Ads Widget

Responsive Advertisement

AJIRA ZA MUDA SENSA NA MAKAZI, MAELFU WAOMBA

 



 Watu 674,884 wameomba ajira za muda za Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti 23 nchi nzima ambapo takwimu za siku hiyo ndiyo zitatumika katika zoezi hilo la siku sita.


Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda amethitibisha watu hao ndiyo wametuma maombi hadi zoezi hilo linafungwa na sasa unafuata mchujo ili kupata watu 205,000 wanaohitajika kwa ajili ya kazi hiyo.



Post a Comment

0 Comments