Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la
Kimataifa lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete
Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.

Viongozi
na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili
la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 18/12/2022.
0 Comments