Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MAN U wamefanya hivi leo

Clab ya manchester unitedi imeanza kigi vizuri baada ya kuifunga buremouth kwao goli tatu kwa moja alianza kufumania nyavu ni mchezaji Juan manuel mata dk 47 pia akaja kufunga mchezahi rooney  na goli la tatu akafunga  mchezaji mpya wa nan u ZLATANI IBRAHIMOVIC aliyefungua akaunti yake mpya ya magoli .Goli la kufutia machozi limefungwa na smith

Post a Comment

0 Comments