Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KINARA WA MATUSI INSTAGRAM MIKONONI MWA POLISI

 Kijana mmoja ambaye anatumia jina la Shilolekiuno_official Huko Instagram hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali akiwemo Mwanamuziki Diamond,

Jana Baada ya Diamond Kutangaza Kuleta Perfume mpya zenye jina lake sokoni, mtu huyo anayetumua jina la @shilolekiuno_officail aliingia mtandaoni na kuandika matusi makubwa ambayo siwezi kuyaweka hapa kuhusu Perfume hiyo ya Diamond

Meneja wa Diamond Ameandika Haya:



Hahaha, kijana akiwa chini ya ulizi, Mungu hataki matusi, serikali haitaki matusi tukana uoneeee 


Post a Comment

0 Comments