Watu wengi sikuhizi wanatangaza biashara facebook hata makampuni yanafanya hivyo yakizani biashara zao zitajuliakana kwa watu wengi ili nao waongeze mauzo. Hata wamiliki wa blog nao wanajaribu kutangaza facebook ili kupata watembeleaji kwenye blog zao. Wanaamini kuwa wanapata watu wapya . Ukweli ni kwamba unapoteza pesa nyingi kutangaza facebook bila mafanikio. Nitakuleza kwanini. Nia sababu mbili za msingi ambazo nimeshazifanyia utafiti. Majibu niliyopata yanasikitisha. Watu hawajaelewa kuwa wanapoteza pesa bure kutangaza facebook. Sababu ya kwanza inayonifanya nisitangaze facebook tena ni hiii. Facebook inaonesha tangazo lako kwa watu wale wale kila siku tunaita frequency capping kwa kingereza. Yaani facebook huwezi kuonesha tangazo lako kwa unique members only facebook haina kipengele hicho. Madhara yake unalipia tangazo lako pesa nyingi kwa watu wale wale. Sasa jiulize kama mtu umempa ujumbe zaidi ya mara moja ukimfahamisha bidhaa zako lakini asiitikie au ameshaitikia kwa kununua bidhaa zako unaendelea kumpa ujumbe huo huo mara nyingi tena kwa kulipia pesa nyingi unakuwa unafanya nini? Fanya utafiti tazama matangazo yanayojitokeza facebook ukiwa online utaamini nachokisema facebook inaonesha mara nyingi kwa mtu huyo huyo hata kama ameshalibonyeza na kusoma bado facebook itaendelea kuonesha tangazo hilo hilo mara nyingi. Kumbuka unalipia kwa click au kwa impression kwa hiyo kuonesha tangazo lako kwa mtu moja mara nyingi unapata hasara. Sababu ya pili ukitangaza facebook kwa kulenga tangazo lionekane Tanzania ndo umejipoteza kabisha. Watumiaji wengi wa facebook wanatumia facebook bure yaani hata kama simu yake haina salio anaweza kuipata facebook na matangazo anayaona sasa kama unalipia kwa kila anayebonyeza tangazo hapo ndiyo umejiua kabisa. Matangazo mengi ya kulipia kwa click yanalenga kupeleka traffic kwenye blogs au kumpeleka mtu sehemu yenye maelezo zaidi. Sasa nakuhakikishia clicks nyingi unazolipia hazipeleki watu sehemu uliyotaka. Mfano mtu ambaye simu yake haina salio la muda wa maongezi ambao unaweza kukatwa ili apate huduma baada ya kutoka facebook atapewa ujumbe no internet connection mara tu akianza kuoingia kwenye blog yako au website yako unayoitangaza lakini facebook itahesabu kama mtu huyo ameclick na amekwenda kwenye website yako. Jinsi ya kutatua tatizo hilo ili pesa zako zitumike vizuri kwa kutangaza kwenye mitandao ya kijamii Amini usiamini kuna mtandao mmoja tu unaoweza kutangaza biashara online na ukaonesha tangazo kwa watu wapya tu. Kadili unavyoonesha tangazo kwa watu wapya ndivyo unavyoongeza uwezekano wa kupata wateja wapya watakaonunua bidhaa zako. Pia unavyoitangaza blog yako au website kwa watu wapya ndivyo unavyoongeza watembeleaji wengi kwenye blog yako kwakua idadi ya watu watakaoifahamu blog yako itakuwa kubwa kuliko kuonesha tangazo kwa watu wale wale kila siku. Nikutajie mtandao ambao ukiweka tangazo lako litaonekana kwa watu wapya tu yaani tangazo likionekana kwa kwako halitaoneshwa tena bali mtandao huo utapeleka tangazo lako kwa mtu mwingine naye alione.www.masshele.blogspot.com na blogs zote ambazo ni matawi ya chatguest.com Kwa siku unauhakika wakupata watazamaji wapya si chini ya elfu kumi. Tuma tangazo lako sasa kwe massheleemanuel@gmail.com tangazo lako litaanza kuonekana le oleo. Kama huwezi kutengeneza tangazo basi tuambie tukutengenezee kulingana na mahitaji yako. Tuma sms tu kwa namba 0766605392 Karibu upate wateja wapya tu na utumie pesa kidogo sana kutangaza upate wateja wengi. Usitangaze facebook unapoteza pesa bure To unsubscribe from these announcements, login to the forum and uncheck "Receive forum announcements and important notifications by email." in your profile. You can view the full announcement by following this link: www.masshele.blogspot.com
0 Comments