Maafisa wa Clinton wasema ni mapema mno
Imepakiwa mnamo 10:27 HABARI ZA HIVI PUNDE
Mwenyekiti wa kampeni wa Hillary Clinton John Podesta amesema bado ni mapema mno na maafisa wa kampeni wa Clinton hawawezi kusema lolote kwa sasa.
"Bado wanahesabu kura na kila kura ina umuhimu ... majimbo kadha kura zimekaribiana sana kwa hivyo hatutasema mengine zaidi leo.
"Kila mtu anafaa kwenda nyumbani, alale. Tutasema mengi kesho."
0 Comments