Select a Page   Home » Kitaifa » SIKU KIBAO ZIMEPITA LAKINI KOCHA OMOG BADO ANAIKUMBUKA STAND UNITED SIKU KIBAO ZIMEPITA LAKINI KOCHA OMOG BADO ANAIKUMBUKA STAND UNITED  OMOG Unaweza kusema kila mbuyu na shetani wake aisee! Kocha wa Simba, Joseph Omog pamoja na kufungwa mechi mbili mfululizo za mwisho dhidi ya African Lyon na Prisons huku ikiponea chupuchupu kwa Yanga, bado humwambii chochote mbele ya Stand United. Simba imekwenda likizo ikiwa ndiyo timu iliyochota pointi nyingi zaidi, ikiwa kileleni na pointi 35, mbili zaidi ya Yanga iliyo nafasi ya pili, lakini bado haamini Yanga kuwapumulia kisogoni ni sababu ya kuiita timu bora kiufundi, kwani kwake Stand ndiyo ilikuwa timu ngumu kiufundi kati ya timu 15 alizokutana nazo. Akitoa tathmini yake ya raundi ya kwanza, Mcameroon huyo wa zamani wa Azam, alisisitiza licha ya kupoteza mbele ya Prisons na awali African Lyon, lakini Stand ndiyo timu atakayoikumbuka kwenye raundi ya kwanza. “Bahati mbaya kila mchezo ulikuwa kama fainali kwetu, kadiri mechi zilivyokwenda lakini niwe mkweli, Stand ndiyo ilitupa shida sana. Ndiyo ilikuwa ngumu japokuwa tulishinda (bao 1-0) lakini ndiyo timu ninayokwambia ilitusumbua sana, japo timu nyingine zilitusumbua pia. “Yanga inakuja katika nafasi ya pili, Azam inafuatia na nyingine zitafuata baada ya hizo timu. Kwangu hizi ndizo zilikuwa na ushindani mkubwa kuliko,” alisema Mcameroon huyo. Katika mechi 15, Simba ilifanikiwa kushinda mechi 11, sare mbili huku ikipoteza michezo miwili dhidi ya Lyon na Prisons. 16 Nov 2016 Next KOCHA MBAO FC ATAKA MTU KAMA NIYONZIMA HIVI HALAFU KITAKACHOFUATIA.... Previous TAMBWE ALIKUWA NA HOFU NA SIMBA ILE KINOMA, LAKINI SASA... RELATED POSTS LWANDAMINA AZUNGUMZIA ISHU YA KUWATEMA WACHEZAJI YANGA, ISHU YA KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA KUTOKA ZESCO SALEH ALLY 'JEMBE', AKIWA NA KOCHA MPYA WA YANGA, GEORGE LWANDAMINA BAADA YA KUFANYA NAYE MAHOJIA...Read more LWANDAMINA AELEZA ALIVYOWAHI KUIFUNGA SIMBA NA KUMFUKUZISHA KOCHA Kocha mpya wa Yanga, George Lwandamina amesema anaijua vizuri Simba na mara ya mwisho anaikumb...Read more KOCHA MBAO FC ATAKA MTU KAMA NIYONZIMA HIVI HALAFU KITAKACHOFUATIA.... MBAO FC Baada ya dirisha dogo la usajili wa Ligi Kuu Bara kufunguliwa jana Jumanne, uongozi w...Read more SIKU KIBAO ZIMEPITA LAKINI KOCHA OMOG BADO ANAIKUMBUKA STAND UNITED OMOG Unaweza kusema kila mbuyu na shetani wake aisee! Kocha wa Simba, Joseph Omog pamoja na kuf...Read more TAMBWE ALIKUWA NA HOFU NA SIMBA ILE KINOMA, LAKINI SASA... Straika wa Yanga, Amissi Tambwe mwenye mabao saba, ameibuka na kusema kuwa, alikuwa na presha ...Read more 0 COMMENTS: Post a Comment                                  Click to see the code! To insert emoticon you must added at least one space before the code.   GONGA HAPA KWENDA AZAM TV     KUHUSU MIMI  SALEH ALLY VIEW MY COMPLETE PROFILE FACEBOOK  SALEHJEMBE TV: MAFANIKIO YA KOCHA HANS VAN DER PLUIJM AKIWA YANGA  SAMSA REAL ESTATE LTD  WADAU WA BLOG HII  ZILIZOSOMWA SANA  LISTI YA MWISHO YA PLUIJM AKIIFUNDISHA YANGA HII HAPA, APANGA FULL MZIKI VS JKT Kikosi cha Yanga SC dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. 1. Beno Kakolanya 2. Hassan Kessy ...  YANGA 2-1 RUVU SHOOTING 'LIVE' FULL TIME KUTOKA UWANJA WA UHURU, DAR FULL TIME Mwamuzi anamaliza mch ezo Yanga inapata
0 Comments