Header Ads Widget

Responsive Advertisement

LEROY SANE HUYOOO MANCHESTER

WAPINZANI wa jadi Manchester United na Man City, wamejikuta wakiingia katika vita ya kuwania saini ya mshambuliaji chipukizi, Leroy Sane.

City inataka kumshawishi Sane ajiunge nao na kuikataa United, kwa mujibu wa taarifa ya mtandao wa Daily Star.

Sane anayekipiga Schalke 04 ya Ujerumani anaweza kutua City au United kwa dau la pauni milioni 35.



Post a Comment

0 Comments