Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Highlight simba vs yanga FT SIMBA 2 YANGA 1

mchezo huo uliopigwa dimba la taifa ulianza kwa taratibu kila timu ikijihami .Lakini mambo yalienda kombo kwa dakika ya tano baada ya Novatius Lufunga kusababisha penati iliyo wekwa kambani na Simon Msuva , mabadiliko ya kipindi chapili , alipoingia Mkude, Å„a kichuya yalizaa matunda bada ya mchezaji kichuya kuhusika katika goli zote mbili moja krosi maridhawa iliyofungwa na MAVUGO, dakika chache baadaye akafunga tena shujaa huyu wa simba SHIZA RAMADHANI KICHUYA hadi mpira  unaisha simba 2 yanga 1  ikumbukwe kuwa simba walicheza pungufu baada ya BUKUNGU  kutolewa kwa kadi nyekundu

Post a Comment

0 Comments