Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Aliyo ya sema Omar Nondo. Namaoni mbalimbali

*TAARIFA FUPI KWA WANA UDSM.*

Ndugu wanafunzi wenzangu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), mimi *Mahmud Abdul Omar Nondo* nimeyapokea kwa mikono miwili na unyenyekevu mkubwa, matokeo ya *Tume ya Uchaguzi wa DARUSO 2017/2018 ambapo nilikuwa mgombea kabla ya jina langu kutopitishwa na tume kwasababu walizoona zinafaa.*

Nawashukuru wana UDSM wote ambao walikuwa na imani kubwa juu yangu, waliosikitishwa na kuondolewa kwa jina langu, walionipa pole na kunitia moyo.

Mungu awabariki sana, na ninawaomba muwe tayari kuhamisha imani hiyo kwa mgombea yeyote ambaye mtamuona ana sera nzuri na za maslahi kwa umma wa wana UDSM.

*MUNGU AWE NANYI*

Mahmud, Abdul Omar Nondo. Haya ni maoni niliyo yapata baada ya kuwahoji mashabiki wa Nondo wengi wakisifu uwajibikaji wake*Nondo atabak kuwa jembe Leo na hata milele*No, acha tu awe waziri, awakomeshe huko huko juu kwa juu* Tunamkubal coz jamaa ni kiongoz anayejitoa kwa raia wake*But jembe nondo utazid kuwa jembe*

Post a Comment

0 Comments