Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Hekaheka ya mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake!!

Hekaheka ya mtoto wa miaka mitano anayedaiwa kubakwa na kaka yake!!

Mtangazaji Geah Habibu kupitia kipindi cha Leo Tena ya Clouds FM, leo April 10 2017 ametuletea Heka Heka inayotokea Kigogo jijini Dar es Salaam ambayo inamuhusu mtoto wa kike kubakwa na kaka yake.
Mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitano anadaiwa kufanyiwa udhalilishaji huo na kaka yake wa kuzaliwa tumbo moja mwenye umri wa miaka 13 ambapo amekuwa anawahadithia majirani kila anapofanyiwa kitendo hicho.
Majirani hao wamekuwa wakiifikisha taaifa hiyo kwa mama yake lakini wanashangazwa kutochukuliwa kwa hatua zozote mpaka pale Mjumbe alipompeleka mtoto huyo hospitali ambako aligundulika kuwa na michubuko huku mama akidai mtoto huyo ana fangasi.


Post a Comment

0 Comments