Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MAKONDA : WAZIRI MWAKYEMBE AMUWEKA KITI MOTO MAKONDA, NI KUHUSU UVAMIZI WA CLOUDS MEDIA

Waziri wa Habari, michezo na utamaduni Dr Harrison Mwakyembeamemtaka Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam ajibu maswali tisa ambayo yalipelekea kuvamia kituo cha habari cha Clouds televisheni,Mh Mwakyembe ameeleza kwamba kitendo cha Makonda kuvamia kituo cha luninga cha Clouds kitendo hicho hakikubaliki, hivyo anapaswa kujibu maswali kadhaa katika kuhoji upande wa pili maana kitendo hicho kimelaaniwa sana na jukwaa la wanahabari Tanzania na wadau wengine wa habari ndani na nje ya nchi.

Nipashe.

Post a Comment

0 Comments