Header Ads Widget

Responsive Advertisement

WAGOMBEA MME AHIDI MENGI ILA HAYA NDIYO WANA UDSM WANAYO HITAJI

Wakati mchakato wa kuwapata viongozi wapya maarufu kama kampeni ukiendelea naamua kuandika makala haya muhimu kwa wagombea wa serikali ya DARUSO UDSM

siku chache zijazo huenda ukawa kiongozi 
Nakupata dhama ya kuongoza wana UDSM

Huenda uliahidi mambo kadha wa kadha ambayo mengine utayatekeleza kulingana na utakavyo jaliwa 

Je unajua wana UDSM
wanacho hitaji kutoka kwako ?
Huenda usijue ila habari njema kwako nikwamba haya hapa ndiyo wana UDSM
wanataka, kutoka kwako
Huu mziki utauweza lakini?
Sikutishi katika mahojiano na watu kadha wakadha nimeibuka na hizi changamoto
Na mapendekezo yafuatayo


1:  huyu hapa haoneshi kabisa furaha bila shaka ana lamoyoni la kusema : UWAZI  eti ankerwa na tabia za viongozi kuficha mambo hasa maswala ya fedha za DARUSO 
Hatuwataki viongozi wa aina hii tutafute wenye mifuko mifupi mifupi 

2:  Huyu nimemkuta anatembea taratibu kutoka chuo kwenda Mabibo hostel, Hana mengi ila et anaomba nauli ya 🚀 🚌  ipungue


3:   huyu hapa analilia swala la usafi 
Eti mtu mchafu anatabia ya kuvaa nguo safi 

4: huyu anandoto kabisa eti angetamani UDSM  kuwa na timu ligi kuu 
Mwanzoni niliona haiwezekani ila nikafikiria mara Mibili nikaona inawezekana 
Tena nikajaribu kufikiria faida zake mda ukaniishia 
Haya nimiongoni mwa maoni niliyo kusanya najua mengine yapo mengi je mgombea una Uhakika  na uliyo ahidi kuwa watu wanayafurahia?  Najua utashinda ila nikupe mchongo ukiingia tu embu fanya kuuliza watu wanacho hitaji kisha ulinganishe na Ahadi zako 

NILIKUWA NAPITA TU 
MASSHELE BLOG BLOG YA WATU +255766605392

Post a Comment

0 Comments