Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Video ,TAZAMA HII NGOMA MPYA YA HARMO RAPA


Harmorapa alianza kukiki kwenye mitandao kiutaniutani ambapo baadae Producer maarufu P Funk Majanialimuona na kukutana nae kwenye studio za Bongo Records, alimsifia kuwa anapenda kujifunza na ni mwepesi pale anapoelekezwa.
Sasa Harmorapa kaanza kuachia ngoma zake ambapo hapa kamshirikisha  Ronei na Mkongwe mwingine wa BongoflevaCpwaa, ukishaitazama hii usisahau kuacha na comment yako ili wakipita wajue Tanzania imewapokeaje kwenye hii.
Weka comment yako hapa harmo akipita aikut
e

Post a Comment

0 Comments