Header Ads Widget

Responsive Advertisement

BREAKING NEWS: SIMBA YAMSAJILI KIPA BORA WA COSAFA


Saidi Mohammed.

Katika kuendelea kujiweka sawa kwa ajili ya msimu ujao wa 2017/18, Klabu ya Simba imeendelea kufanya kweli kwa kusajiri wachezaji wanaoweza kuleta ushindani katika kikosi cha kwanza.
Habari ni kuwa Simba imemsajili kipaSaidi Mohammed kwa kandarasi ya miaka miwili.

Said alikuwa kipa wa Mtibwa Sugar na kwa sasa yupo katika kikosi cha Taifa Stars, pia ndiye aliyekuwa Kipa Bora wa Michuano ya Cosafa iliyofanyika nchini Afrika Kusini, mwaka huu

Post a Comment

0 Comments