Header Ads Widget

Responsive Advertisement

DODOMA, INASIKITISHA MGANGA AULIWA KWAKUCHOMWA MOTO

  • Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa.
    Jeshi la Polisi Dodoma linawashikilia watu 11 kwa uchunguzi kutokana na mauji ambapo August 8, 2017 majira ya saa 4:00 usiku katika kitongoji chaChang’ombe Wilaya ya Chamwinomtu mmoja mwanamke aliyefahamika kwa jina la Mariam Saidi miaka 17 mkazi wa Kigoma aliuawa kwa kukatwa shingo na kutenganishwa na kiwiliwili na kuchomwa moto.
    Mwili wa marehemu ulikutwa nyumbani kwa mganga  wa jadi aitwaye Ashura Mkanga mwenye miaka 33 na mkazi wa kitongoji chaChang’ombe ambapo mazingira ya tukio yanaonesha kuwa mganga huyo wa jadi asiye na kibali kuendesha shughuli za tiba asili analaza wagonjwa nyumbani kwake, anafanya matambiko, anapiga ramli chonganishi, anafanya tohara za watoto katika nyumba yake pamoja na matambiko.
     
    Mwili wa Marehemu.
    “Tukio hili ni baya na halikubaliki hapa Dodoma  na mahala popote, ni fedheha kubwa sana kwa wananchi kuendelea kukumbatia  imani za kishirikina katika karne hii na Serikali imesogeza huduma za afya karibu na jamii lakini bado wapo watu hawataki kwenda hospitali na kukubali kuuawa kwa fedheha na waganga wachonganishi.” Alisema Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa  wakati akiongea na waandishi wa habari

     MOTO BINTI

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Lazaro Mambosasa.

    Post a Comment

    0 Comments