September 13, 2017 Spika wa Bunge Job Ndugai ameagiza tena kamati ya haki, maadili na madaraka ya Bunge kumhoji Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwebaada ya kuendelea kutoa maneno ya kulidhalilisha Bunge licha ya jana Spika kuagiza kuhojiwa kwa kauli hizohizo.
Leo Spika amefunguka zaidi Bungeni kuhusu Zitto Kabwe na kumwambia ana uwezo wa kumzuia asiongee hadi mwisho wake wa Ubunge na asimfanye chochote….. yote aliyoyasema Spika yapo kwenye hii video hapa chini
video kwahisani ya Ayo tv
0 Comments