Header Ads Widget

Responsive Advertisement

BALAA LA ZAIIDI "WOWOWO" FIESTA 2017 DSM , VIDEO

Ni Mkali mwingine ambae ujazo wa jina lake umeongezeka zaidi mwaka 2017 kupitia smash hit yake ‘wowowo” ambayo imeanzia kuwa kubwa kwenye mitandao ya kijamii kisha ndio Radio na TV zikaipokea..
.
Video kwahisani ya Ayo TV shukrani za dhati ziwafikie