Header Ads Widget

Responsive Advertisement

USAJILI SIMBA: KWASI ,DOMINGOS WALIVYO MWAGAWINO SIMBA


Antonio Domingos kushoto na Asante Kwasi kulia wakisaini mikataba ya kuitumikia Simba SC jana usiku. Inaelezwa kuwa wawili hao watajiunga na wenzao keshokutwa Jumatatu kwa ajili ya mazoezi.