Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MASHABIKI YANGA WALIVYOTIA HURUMA LEO TAIFA KIPIGO CHA ROLLERS


Mashabiki wa Yanga wakifuatilia kinyonge mchezo dhidi ya Township Rollers leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kutokana na timu yao kufungwa 2-1 na timu hiyo ya Botswana katika mchezo huo wa kwanza Raundi ya Kwanza Ligi ya Mabingwa Afrika
Township pamoja na kucheza ugenini leo, lakini walikuwa bora na kuwazima wenyeji kiasi cha kuwatia unyonge mashabiki wake
Hawa ni mashabiki wa Simba waliokuwa wanawashangili wageni leo