Kikosi cha Simba kikifanya mazoezi katika Uwanja ulio katikati ya mji wa Port said nchini Misri ikiwa inaiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Al Masry SC.
Wachezaji wa kikosi hicho wameonekana kuwa na morali ya juu kuelekea mechi hiyo itakayopigwa Jumamosi ya wiki hii.
Ambapo ushindi wa aina yeyote Au sare ya 3--3 utaipeleka simba hatua inayo fuata bofya video kutazama kisha share na wana Simba wote