Header Ads Widget

Responsive Advertisement

WATOTO SITA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI TANGA


 taswira gari lililopinduka.
Na Mwandishi wetu
WATOTO sita wamefariki dunia leo na watatu kujeruhiwa vibaya baada ya gari lililokuwa limebeba majani ya chai kutoka kijiji cha Kimbo, Wilaya ya Korogwe, Tanga, kupinduka.
Majeruhi wamepelekwa hospitali ya Korogwe.
Miili ya watoto waliofariki katika ajali hiyo.