Header Ads Widget

Responsive Advertisement

LISTI YA WACHEZAJI SIMBA WALITOROKA KAMBINI USIKU NA KUKESHA KLABU YATAJWA, HII HAPA


Imeelezwa kuwa wachezaji kadhaa wa klabu ya Simba walikesha klabu siku moja kabla ya mchezo na Bandari FC ambao ulimalizika kwa wageni kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Kupitia Radio EFM, Mwanachama wa Simba, Suleiman Yusuph, amewataja wachezaji watano ambao ni hawa wafuatao

Haruna Niyonzima
Hassan Dilunga
Sergi Wawa
Mohammed Ibrahim na 
Jonas Mkude

CHANZO: EFM

Post a Comment

0 Comments