Wapo wanazuoni wanaofika mbali na kudai kuwa sanaa ni kwaajili ya sanaa tuu.
Miongoni mwa wataalamu hao ni mdachi Emanuel kanti
Swali la kujiuliza hapa je nikweli fasihi ni kwaajili ya sanaa pekee?
Vipi kuhusu dhima nyingi za kifasihi tuzionazo kama
Dhima za kisiasa, kifalsafa, kiitikadi, kisiasa, kiimani na kiuchumi?
Karibu katika mjadala
0 Comments