Header Ads Widget

Responsive Advertisement

KIKOSI CHA WACHEZAJI 21 AL AHLY KINACHO TUA DAR , KUWAKOSA WACHEZAJI HAWA

Yasser Ibrahim returns as Al Ahly name squad for Simba trip
Photo: Al Ahly SC
Kocha wa Al Ahly  Martin Lasarte ametaja kikosi cha wachezaji  21 kitakacho tua Dar kwaajili ya  mchezo Wa marudiano (CAF Champions League group-stages.)
Simba itakuwa mwenyeji wa Al Ahly February 12 katika uwanja Wataifa wakiwa na kumbukumbu mbaya ya kipigo kizito kutoka kwa miamba hao Wa Cairo ( after the Reds thrashed them 5-0 at Borg El-Arab last week.)
Ikumbukwe kuwa All Ahly kwa sasa ndio vinara Wa kundi D, kwa alama 7 , alama tatu zaidi ya Vita Club na alama nne juu ya Simba ,huku JS Soura wakivuta mkia kwa alama zao mbili
(Al Ahly are currently top of the group with seven points, three ahead of AS Vita Club, and four ahead of third-placed Simba, while JS Souara languish at the bottom of the group with two points.)

Baada ya kuikosa michezo mitatu mtawalia wakiuguza majeraha Beki Wa kutumainiwa , Yasser Ibrahim na Mohammed Sherif sasa wapo gado kwaajili ya mtanange huo
(The squad saw the return of defenderYasser Ibrahim after missing out on his side’s last three games due to injury, with Mohamed Sherif also making the list.)

Hata hivy Al Ahly wataendelea kukosa Huduma za nahodha wake Hossam  Ashour pamoja na majeruhi wengine kama 
 Walid Azaro, Ahmed Fathi, Walid Soliman, na  Marwan Mohsen.

On the other hand, team captain Hossam Ashour will miss the encounter due to injury as well as Walid Azaro, Ahmed Fathi, Walid Soliman, and Marwan Mohsen.
Full squad:
Goalkeepers: Sherif Ekramy, Mohamed El Shennawy, and Ali Lotfi.
Defenders: Saad Samir, Rami Rabia, Ayman Ashraf, Ali Maaloul, Mahmoud Wahid, Mohamed Hany, Yasser Ibrahim.
Midfielders: Amr El-Sulya, Karim Nedved, Hamdi Fathi, Islam Mohareb, Hussein El-Shahat, Ramadan Sobhi, Nasser Maher, Mohamed Sherif, Hesham Mohamed.
Forwards: Salah Mohsen, Junior Ajayi

Post a Comment

0 Comments