Ruge
Mutahaba ambaye alikuwa mmoja kati ya wahasisi wa Clouds Media,
atazikwa leo Jumatatu March 4, 2019 huko nyumbani kwao Bukoba.
Mapema
jana mwili wa Marehemu Ruge Mutahaba uliwasili kiwanja cha ndege cha
Bukoba majira ya saa 3 asubuhi na kupokewa na maelfu ya watu.

0 Comments