Header Ads Widget

Responsive Advertisement

JINSI YA KUPATA AJIRA KWA HARAKA




UZOEVU KAZINI
hiki nikigezo kinacho waumiza sana, hasa walee ambao ndio kwanza wanatoka vyuoni.

Wakati ambapo ajira inayotangazwa inahitaji mtu mzoevu. Ukweli ni kwamba mtu mzoevu ni muhimu sana katika kampuni yeyote ile na anafaida kubwa, weledi na tajiriba ya kufanya mambo ukilinganisha na mtu ambaye ndio kwaaanza anatoka chuo  ambaye kubali usikubali anakuwa hajui kitu zaidi ya notes alizo soma.  (Dunia inabadilika sana kisayansi na kiteknolojia)

Sasa swali linakuja Huyu anayetoka chuo uzoevu ataupata wapi?


No otherwise njia iliyopo ni internships.
nikiwa na maana kujitolea kwa kipindi Fulani katika kampuni Fulani ili upate uzoevu, huwa inakera lakini hakuna namna.

Kwasababu kazi nyingi saivi zinahitaji uzoevu na refaree Wa sehemu ambayozo umewahi kufanya kazi ! Pengine unaweza kuwa mgumu kuelewa lakini hali ndio hiyo!

Sasa hapa ili usiumie sana Fanya yafuatayo kama utaamua kutumia hii njia
Tafuta kampuni ambayo inaendana na ulichokisomea au ambayo haitofautiani sana waambie unaomba kwaajili ya kupata uzoevu na hauhitaji malipo.


Sasa hapa nakupa mbinu
Unaweza kuanza kama tarehe 28 January hadi march 3   naukaandika barua ya kuomba kuacha kwa kutoa sababu kama vile unahama, au unaenda short course hivi (usidanganye sana) (kumbuka katika kipindi cha kujitolea kama ulifanya vizuri lazima utakaribishwa tena na mawasiliano yako lazima watakuwa nayo kwa namna ulivyokuwa unajituma . Nb ubunifu, kujiongeza ni muhimu.


Baada ya hapo tafuta  kampuni nyingine Fanya kama hatu one.

Utajikuta ndani ya muda mfupi umepata uzoevu Wa kazi tofauti tofauti na connection za kutosha.  Katika CV  yako experience kazini itakuwa imenawiri pale ambapo unauzoevu katika kufanya kazi zaidi ya kampuni tatu  lakini kumbuka katika interview watakuuliza kwanini uliamua kuacha kazi katika kampuni Fulani hapa utatoa sababu zile zile hapo juu. Umakin unahitajika.


*MUHIMU*

Vitu vitakavyo kusaidia upate kazi kirahisi ni ule utofauti wako na wengine , sisemei kwamba labda wewe ni Mdada mzuri au laa!
Ule ujuzi wako wa ziada sana sana digital skills nakadhalika hivi vitu ni muhimu sana .


Chukulia mfano wewe umesoma kozi za uhariri then unakutana mtu aliyesoma uhariri pia halafu yeye anajua na computer skills kama graphics design hapa mkiomba kazi pamoja lazima akupige bao!

Ufanyeje?
Sio lazima kusoma darasani mambo mengine

Kukingana na maendeleo ya TECNOHAMA kazi nyingi zinahitaji ujuzi wa komputer na uzuri ni kwamba juzi hizi unaweza kujifunza mwenyewe kupitia simu yako YOUTUBE, au computer yako kupitia Google au kwingineko

search learng computer science , adope photo shop  na skills zingine kibao

Then kwenye CV yako katika digital skills andika

maybe graphics design basic skill
what what basic skill

Hii ina umuhimu mkubwa sana

Kuhusiana na maswali yanayo ulizwa sanakwenye interview rejelea makala zilizo pita.


Kuhusu kupata internship google itakusaidia.

Tukipata mudah tutakuja kuendelea kama unamaoni Nitumie
Kwenye pepe
info.masshele@gmail.com
au text WhatsApp
+255766605392
Tushee mawazo

Post a Comment

0 Comments