✅Haina makato ya mwezi
✅Haina Uko mko wa kiwango cha chini kutoa kwenye akaunti
✅Unapata Boom Advance hadi TSh 120,000 muda wowote
Fungua akaunti ya Scholar uzawadiwe laptop kukurahisishia maisha chuoni. Tembelea tawi letu lililopo karibu yako kufungua Scholar Account au unaweza kufungua katika vituo vyetu vitakavyo kuwepo chuoni kwako unavyo ripoti chuoni.
Jua zaidi kuhusu akaunti ya Scholar crdbtz.co/ScholarAccount
#Jipe5 #ScholarAccount

0 Comments