Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Ratiba ya leo ligi kuu ya Vidacom

 


 LEO Desemba 19 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.

Gwambina FC iliyo nafasi ya 14 na pointi 17 v Prisons iliyo nafasi ya 9 na pointi 20 itapigwa, Uwanja wa Gwambina Complex. 

Ihefu FC iliyo nafasi ya 18 na pointi 10 v KMC iliyo nafasi ya 7 na pointi 21, Uwanja wa Sokoine. 

Mtibwa Sugar iliyo nafasi ya 11 na pointi 19 v JKT Tanzania iliyo nafasi ya 15 na pointi 14, Jamhuri,Morogoro. 

Yanga iliyo nafasi ya kwanza na pointi 37 v Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 10 na pointi19, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Jiunge Na 22bet upate bonus ya hadi 300,000  ukiweka pesa kwa Mara ya kwanza bonus 100% 


Bofya <HAPA> kujiunga


Post a Comment

0 Comments