Kamusi inazo kazi mbalimbali kama
-kufundishia lugha
-kusanifisha lugha
-kukuza lugha
-kuhifadhi maneno/ msamiati wa lugha
-hutumika katika uhariri
Ongeza dhima nyinginezo katika sehemu ya maoni hapo chini
0 Comments