Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Breaking: Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania asimamishwa kazi

 


 


Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi kupisha uchunguzi wa madai ya matumizi mabaya ya fedha na rasilimali katika ofisi yake.


Post a Comment

0 Comments