Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Aliyempiga Rais Kofi ahukumiwa Jela miezi minne

 







Mahakama Imeamuru mwanamume aliyempiga kofi la uso Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wiki hii kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani,

Damien Tarel Mwenye umri wa miaka 28, alimshambulia Rais Macron wakati rais alipokuwa akipeana mikono na wananchi huko Tain-L'Hermitage, Ufaransa siku ya Jumanne

Post a Comment

0 Comments