Albert Chalamila.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ally Hapi anahamia mkoa wa Mara na aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga Balozi Dkt. Batilda Salha Buriani anakuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora huku aliyekuwa Katibu Tawala wilaya ya Simanjiro, Zuwena

Omari Jiri anakuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Juni 11,2021 amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa na kuteua wengine.
0 Comments