Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Rais Wa Zamani Wa Zambia, Kenneth Kaunda Afariki Dunia

 


Rais wa kwanza wa Zambia, Dk. Kenneth Kaunda amefariki dunia leo, Juni 17, 2021 akiwa na umri wa miaka 97.

Siku chache zilizopita, Dk. Kaunda alilazwa katika Hospitali ya Maina Soko jijini Lusaka kufuatia maradhi yaliyokuwa yanamsumbua kwa siku kadhaa.

Kaunda aliyezaliwa April 28, 1924, aliitawala Zambia kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1991

Post a Comment

0 Comments