Haya yatakuwa matokeo ya kwanza kutangazwa na waziri huyo mpya ambaye aliteuliwa na kupitishwa na bunge kuhudumu katika baraza la mawaziri wa rais Ruto kama waziri wa elimu, wizara ambayo ilikuwa imeshikiliwa kwa muda mrefu na waziri profesa George Magoha
0 Comments