Wanatakiwa vijana wa Kitanzania, waishio jijini Dar es salaam wenye elimu ya MASOKO (Sales and Marketing) kutuma vyeti na CV zao mtandaoni kwa ajili ya kuchangamkia fursa hii ya ajira katika kampuni ya CHAPRIDE.
VIGEZO ni kuwa na elimu ya MASOKO (kiwango chcochote) na kuwa mkazi wa jiji la Dar es salaam. Wasio na uzoefu na mambo ya MASOKO watafundishwa na waliowahi kufanyakazi kwenye kampuni yoyote ya MASOKO, watapewa kipaumbele.
Kama unazo hizo sifa, Tafadhali Bonyeza Link ifuatayo kwa ajili ya kujaza taarifa zako na kuziwasilisha kwetu HARAKA,
Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kwa simu namba: Tel: +255 620 817 304 +255 752 477 231


0 Comments