![]() |
| Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022 kwa njia ya SMS IMG (screenshot from www.necta.go.tz |
Matokeo ya kidato Cha nne kwa wanafunzi walilofanya mitihani Yao November 2022, yanatarajiwa kutangazwa na Baraza la mitihani NECTA, mwaka huu 2023 muda wowote kuanzia leo. Taarifa rasmi kuhusu nilini yatatoka tuatakuwekea katika tovuti hii au tembelea tovuti ya Baraza la mitihani Necta kuona matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 pindi yatakapotangazwa.
Yaliyomo.
1. Jinsi ya kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022
A) kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022 kwa njia ya tovuti ya NECTA
B) kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 kwa njia ya SMS
2. Mawasiliano ya Baraza la mitihani Necta kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023
JINSI KUANGALIA MATOLEO YA KIDATO CHA NNE 2022
ili uweze kuangalia matokeo yako ya kidato Cha nne 2022 hakikisha kwanza umeandaa namba yako ya mtihani Kisha fanya yafuatayo ,
A) kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 kwa njia ya tovuti, hakikisha kifaa chako simu au kompyuta imewezeshwa na internet Kisha tembelea kiungo Cha BARAZA LA mitihani Necta, na ufungue taarifa mpya kuhusu, Matokeo ya kidato Cha nne 2022 pindiyatakapopakiwa katika tovuti hiyo.
B) Kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022 kwa njia ya SMS.
Ili uweze kuangalia matokeo hayo hakikisha umeweka salio katika simu yako Kisha fuata Hatua hizi kwa Umakini
- Piga *152*00#
- Chagua namba 8.ELIMU
- Chagua namba 2.NECTA
- Chagua aina ya huduma 1.MATOKEO
- Chagua aina ya Mtihani 2.ACSEE
- Andika namba ya Mtihani na Mwaka Mfano:S0334-0556-2019
- Chagua aina ya Malipo (Gharama kwa kila SMS ni Tshs 100/=)
- Baada ya kukamilisha malipo utapokea ujumbe mfupi wa matokeo (SOURCE www.necta.go.tz)
- 2. Mawasiliano ya Baraza la mitihani Necta kuhusu matokeo ya kidato Cha nne 2022/2023 Unaweza kuwasiliana na Baraza lamitihani NECTA, TZ kwa mawasiliano haya
- The Executive Secretary,
- The National Examinations Council of Tanzania
- P.O. BOX 2624 OR 32019
- Dar es Salaam.
- +255-22-2700493 - 6/9
- +255-22-2775966
- esnecta@necta.go.tz
Jibu, ili uweze kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022 unaweza kuangalia kwa njia mbili ambazo ni, kuangalia matokeo ya kidato Cha nne kwa njia ya SMS, na kuangalia matokeo ya kidato Cha nne kwa njia ya tovuti
Swali, Je ufaulu kwa mwaka 2022/2023 utaangaliwaje ili niweze kujiunga na kidato Cha tano?
Jibu, kwa kawaida kunayo madaraja manner ya ufaulu, ambapo ni dv 1 Hadi dv 4, lakini kwa sifa za kujiunga na kidato Cha tano mwanafunzi anatakiwa kupata angalau Dv 1-Dv 111, ufaulu wa A-D, katika tahasusi alizochagua.
Hitimisho, nakutakia subira njema na ustahimili katika kipindi hiki ukisubiri kuangalia matokeo ya kidato Cha nne 2022

0 Comments