Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MATOKEO YA FORM TWO 2022 | MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022/2023

Matokeo ya kidato Cha pili 2022
Matokeo ya kidato Cha pili 2022 | Form two examination results all schools

MATOKEO YA FORM TWO 2022 | MATOKEO YA KIDATO CHA PILI 2022/2023

Haya hapa matokeo ya kidato Cha pili walilofanya mtihani 2022.

Baraza la mitihani Necta Linatarajia kutangaza matokeo ya kidato Cha pili /form two 2022 examination Results.

Katika taarifa yake katika mtandao wa Facebook Necta wamesema wanatarajia kutangaza matokeo ya kidato Cha pili na Darasa la nne 2022. Taarifa hiyo kuhusu matokeo ya kidato Cha pili 2022/Matokeo ya form two examination results unasema "Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo ya Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la Nne na Kidato cha Pili 2022 leo tarehe 4/01/2023. Matangazo hayo yatarushwa (Live) kupitia youtube ya nectaonline kuanzia saa 4:00 asubuhi"

Kuona matokeo ya kidato Cha pili shule zote Bofya hapa www.necta.go.tz

Post a Comment

0 Comments