Header Ads Widget

Responsive Advertisement

NECTA MATOKEO YA DARASA LA NNE 2022

 

Darasa la nne 2022 matokeo
Haya hapa matokeo ya Darasa la nne 2022

Matokeo ya Darasa la nne yanatarajiwa kutangazwa Leo na Baraza la mitihani Tanzania. Matokeo hayo ya Darasa la nne 2022 yanatokana na mtihani wa upimaji  kwa Darasa la nne uliofanyika mwaka Jana 2022. Aidha mitihani hiyo ya upimaji ambayo hufanyika kila mwaka hutatmini maendeleo ya wanafunzi Darasa la nne kabla ya kuingia Darasa la tano.

Tuatakuwekea matokeo hayo ya Darasa la nne punde kidogo baada ya kutangazwa na Baraza la mitihani Tanzania NECTA.

Kuangalia matokeo ya  Darasa la nne Bofya >HAPA>

Post a Comment

0 Comments