Klabu ya yanga inatarajiwa kushuka dimbani leo februari 12.2023 kuikabili timu ya Monastir Ya Tunisia. Mchezo huo inatarajiwa kuwa mkali kutokana na ubora wa timu zote mbili. Ingawa yanga hawana uzoefu kwenye mashindano ya kinataifa lakini hawatarajiwi kuondoka kinyonge Sana kutokana na ubora wa kikosi chao. Hata hivyo wanatarajia kukutana na upinzani mkali kutok kwa Monastir kutoka na ubora wa ligi ya Tunisia ukilinganisha na ligi ya tanzania
MATOKEO YA YANGA NA MONASTIR
tutakuwekea hapa matokeo Kati ya yanga na Monastir baada ya dakika 90.
Utabiri wa mchezo wa Yanga na Monastir
FT 1-1 under 2.5

0 Comments